“Finer Things” | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() | |||||
Single ya DJ Felli Fel akimshirikisha Kanye West, Jermaine Dupri, Fabolous na Ne-Yo | |||||
Imetolewa | 11 Machi 2008 | ||||
Imerekodiwa | 2007-2008 | ||||
Aina | Hip hop | ||||
Urefu | 4:14 | ||||
Studio | So So Def/IDJMG | ||||
Mtayarishaji | DJ Felli Fel | ||||
Mwenendo wa single za DJ Felli Fel | |||||
|
|||||
Mwenendo wa single za Kanye West | |||||
|
|||||
Mwenendo wa single za Jermaine Dupri | |||||
|
|||||
Mwenendo wa single za Fabolous | |||||
|
|||||
Mwenendo wa single za Ne-Yo | |||||
|
"Finer Things" ni wimbo wa DJ Felli Fel. Wimbo umepata kushirikisha wasanii wakali wa mamtoni. Wasanii hao ni pamoja na Kanye West, Jermaine Dupri, Fabolous, na Ne-Yo.