Flip Records | |
---|---|
Imeanzishwa | 1994 |
Mwanzilishi | Jordan Schur |
Ilivyo sasa | Imefungwa |
Usambazaji wa studio | Interscope Records (Nchini Marekani) |
Aina za muziki | |
Nchi | Marekani |
Mahala | California |
Flip Records ni studio ya kurekodi muziki kutoka jiji la California, ilianzishwa na Jordan Schur mwaka wa 1994. [1] Lebo hii inajulikana kwa kusaini bendi maarufu za nu metal kama vile Limp Bizkit, Dope na Cold. Studio imefanya kazi miaka kadhaa na imeuza albamu milioni 70 duniani kote. [2]