Jimbo | |||
---|---|---|---|
![]() |
![]() |
||
Kauli Mbiu "In God We trust" |
|||
![]() | |||
Nchi | Marekani | ||
Mwaka wa Kujiunga | March 3, 1845; Miaka 179 iliyopita (27th) | ||
Mji Mkuu | Jacksonville | ||
Jiji kubwa | Tallahassee | ||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||
Lugha Zinazoongewa | Kiingereza: 67.3% Kihispania: 21.2% |
||
Utaifa | Mflorida Floridian (en) | ||
Serikali | |||
Gavana | Ron DeSantis (R) | ||
Naibu Gavana | Jeanette Nuñez (R) | ||
Eneo | |||
Jumla | 170312 km² | ||
Ardhi | 138887 km² | ||
Maji | 31424 (18.45%) | ||
Idadi ya Watu | |||
Kadirio | ![]() |
||
Pato la Taifa (2024) | |||
Jumla | ![]() |
||
Kwa kila mtu | ![]() |
||
Kiashiria cha Maendeleo ya Watu (2018) |
0.925 (25) Maendeleo ya Juu Sana |
||
Mapato ya Kati ya Kaya (2023) |
$73,300 (34) | ||
Eneo la saa | EST, CST , DST | ||
Tovuti 🔗myflorida.com |
Florida ni jimbo la Marekani la kujitawala katika kusini mashariki ya nchi. Umbo lake ni rasi inayoanza Marekani bara kuelekea Kuba. Upande wa magharibi ni maji ya ghuba ya Meksiko na upande wa mashariki maji ya Atlantiki. Upana wa rasi ni kati ya 160 hadi 200 km; upande wa kaskazini kabisa eneo la jimbo lapanuka kama kanda mwambaono wa ghuba ya Meksiko.
Florida imepakana na majimbo ya Marekani ya Georgia na Alabama. Nchi za Karibi za Kuba na Bahamas ni karibu.
Jina la Florida ni ya Kihispania, maana yake ni "yenye maua".