Florini


Florini
Jina la Elementi Florini
Alama F
Namba atomia 96
Uzani atomia 18,9984 u
Valensi 2, 7
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 53,53 K (−219,62 °C)
Kiwango cha kuchemka 85,03 K (−188,12 °C)
Florini

Florini ni dutu sahili na halojeni simetali. Namba atomia yake ni 9. Katika mazingira yetu kawaida iko katika hali ya gesi yenye rangi njanokijani. Alama yake ya kikemia ni F.[1]

Kwa kawaida hupatikana kama molekuli ya F2. Kati ya elementi zote mmenyuko wake wa oksidisho ni kali sana. Tabia hii inasababisha Florini kuwa sumu kali. Inamenyuka vikali na karibu elementi zote.

  1. "Sifa za Florini" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-02-21.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne