Folkuini (pia: Folcwin, Folcuin, Folquinus, Folcwinus, Folcvinus, Folkwin, Folquin; alifariki Therouanne, Ufaransa wa leo, 15 Desemba 855) alikuwa mmonaki, halafu abati aliyechaguliwa mwaka 816 kuwa askofu wa mji huo [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Desemba[2].