"Four Months Ago..." | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Sehemu ya Heroes | |||||||
Peter flies his brother to the hospital. | |||||||
Sehemu ya. | Sehemu 8 | ||||||
Imetungwa na | Tim Kring | ||||||
Imeongozwa na | Greg Beeman | ||||||
Tayarisho la | 208 | ||||||
Tarehe halisi ya kurushwa | November 12, 2007 | ||||||
Waigizaji wageni | |||||||
| |||||||
| |||||||
Orodha ya sehemu za Heroes |
"Four Months Ago..." ni sehemu ya saba ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Kipengele hiki kilitungwa na mwanzilishi/matayarishaji mtendaji wa mfululizo huu Tim Kring na kuongozwa na mtayarishaji mtendaji Greg Beeman. lianza kurushwa hewani kwa mara ya kwanza mnamo tar. 12 Novemba, 2007. Kipengele hiki kinaelezea kile kilichotokea miezi minne baina ya msimu miwili ya mwanzo.