Francisco Maria da Silva

Sanamu ya Francisco Maria da Silva huko Braga, Ureno, kazi ya Rogério de Azevedo

Francisco Maria da Silva (15 Machi 191014 Aprili 1977) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Ureno.

Alihudumu kama Askofu Mkuu na Primate wa Braga kuanzia 1963 hadi kifo chake.[1]

  1. "The Anti-Communists Strike Back". Time. August 25, 1975.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne