Frank Martin | |
---|---|
![]() Jason Statham kama Frank Martin katika The Transporter. Mwigizaji filamu wa Kitaiwani Shu Qi kacheza kama Lai Kwai. | |
Mwonekano wa kwanza | The Transporter |
Maelezo | |
Majina mengine | Driver The Transporter |
Jinsia | Male |
Umri | Haujulikani |
Tarehe ya kuzaliwa | Haijulikani |
Kazi yake | Usafirishaji na Mpanda baiskeli |
Frank Martin ni uhusika uliochezwa na Jason Statham, hasa katika mfululizo wa filamu za The Transporter. Martin amecheza kama dereva wa kulipwa-kujitegemea, anapatika kwa jamii ya wateja matajiri au hata wale wa uhalifu, ambaye anaishi hasa kwa kupata fedha kutoka katika shughuli za usafirishaji wa vitu.
Jason Statham yeye mwenyewe ni mhitimu wa mafunzo ya martial arts, inamruhusu kufanya michezo ya hatari ikiwa ni pamoja na nyusika za Frank Martin. Hii imeifanya filamu kuwa na vipande vya kupiga visivyokatwa katika na alama za ukweli zilizoongozwa na Cory Yuen.