Frederick Sumaye | |
Fredrick Sumaye mwaka 2006 | |
Rais | Benjamin Mkapa |
---|---|
mhitimu wa | Egerton Agricultural College (Dip) Harvard Kennedy School (MPA) |
Frederick Tluway Sumaye (amezaliwa 29 Mei 1950) ni mwanasiasa wa Kitanzania ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 27 Novemba 1995 mpaka 28 Desemba 2005.