Friuli-Venezia Giulia

Mahali pa Friuli-Venezia Giulia katika Italia.

Friuli-Venezia Giulia ni mkoa wa Italia wenye katiba ya pekee.

Uko upande wa kaskazini mashariki wa rasi ya Italia na unapakana na nchi jirani za Austria na Slovenia.

Mji mkuu wake ni Trieste.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne