Fulgence Rabemahafaly

Fulgence Rabemahafaly (alizaliwa 23 Mei 1951 huko Miarinavaratra) ni Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Fianarantsoa, Madagaska.

Alipadrishwa tarehe 14 Agosti 1980 huko Fianarantsoa. Kabla ya kuwa Askofu Mkuu, alikuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Ambositra kuanzia Juni 1999 hadi alipo teuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Fianarantsoa tarehe 1 Oktoba 2002.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne