Gabrieli I wa Aleksandria

Gabrieli I wa Aleksandria (alifariki 28 Februari 920) kuanzia mwaka 910 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 57 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne