Jamhuri ya Gambia Republic of The Gambia (Kiingereza) | |
---|---|
Kaulimbiu: Progress, Peace, and Prosperity (Kiingereza) "Maendeleo, Amani, na Usitawi" | |
Wimbo wa taifa: For The Gambia Our Homeland (Kiingereza) "Kwa Gambia, Nchi Yetu" | |
Mji mkuu | Banjul |
Mji mkubwa | Serekunda |
Lugha rasmi | Kiingereza |
Kabila [1] | 34.4 Wamandinka 24.1 Wafulani 14.8 Wawolof 10.5 Wajola 8.2 Wasoninke 3.1 Waserer 1.9 Wamanjago 1.3 Wabambara 0.5 Waaku 1.5 wengine |
Dini (asilimia)[2] | 94.4 Waislamu 3.5 Wakristo 0.1 wengine |
Eneo | |
• Jumla | km2 11 300[3] |
Idadi ya watu | |
• Kadirio la 2023 | 2 468 569[3] |
Gambia, kirasmi Jamhuri ya Gambia, ni nchi ndogo kabisa ya Afrika bara. Eneo lake lote linazungukwa na Senegal kwa kufuata mwendo wa mto Gambia hadi Bahari ya Atlantiki.
Kimsingi nchi yote ni maeneo ya kandokando ya mto huo; urefu ni takriban km 500, upana kati ya 10 na 50.
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) (Archived 2023 edition)