Gando

Kata ya Gando
Nchi Tanzania
Mkoa Pemba Kaskazini
Wilaya Wete
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 4,265

Gando ni kata ya Wilaya ya Wete katika Mkoa wa Kaskazini Pemba, , Zanzibar, Tanzania, yenye postikodi namba 75116.

Kijiji cha Gando kinapatikana kaskazini magharibi mwa fukwe ya kisiwa cha Pemba, kilomita 7 kaskazini magharibi mwa Wete.

Kisiwa cha Njao kinapatikana upande wa magharibi wa kijiji hicho.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 4,265 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 2210 [2] walioishi humo.

  1. https://www.nbs.go.tz, uk. 250
  2. "Sensa ya 2012, Kaskazini Pemba - Wete DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-04-20.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne