Gasherbrum I ni mlima wenye kimo cha m 8,080 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Karakoram.
Uko katika mpaka wa Pakistan na China.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gasherbrum I kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |