Gavana

Gavana Arnold Schwarzenegger wa jimbo la Kalifornia akiongea na rais wa Marekani George W. Bush tarehe 16 Oktoba 2003.

Gavana (kutoka Kiingereza governor yaani "mwenye kutawala"") ni cheo cha kiongozi wa kisiasa au wa kiutawala kwenye ngazi mbalimbali.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne