George Oppen

George Oppen (24 Aprili 19087 Julai 1984) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1969 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne