Gildor roy.jpg
Gildor Roy (alizaliwa 11 Mei, 1960) ni mchezaji wa filamu kutoka Kanada. Gildor ni kaka wa waigizaji wa Québécois, Luc Roy, Yvon Roy na Maxim Roy.[1]
- ↑ "Daniel Chiasson". District 31 | ICI Radio-Canada (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2021-02-20.