Giovanni Boccamazza (alifariki 1309) alikuwa askofu na Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Alitokea familia bora mojawapo ya Roma, na alikuwa mpwa wa Kardinali Giacomo Savelli, ambaye alikuwa mtu muhimu katika Curia ya Roma baada ya kuteuliwa kuwa kardinali mnamo mwaka 1261.[1][2]
- ↑ Bernhard Pawlicki, Papst Honorius IV. Eine Monographie (Münster 1896), pp. 7-13.
- ↑ Johrendt, Die Diener des Apostelfürsten, 451-452.