Ntombezanele Gladys Bakubaku-Vos (alizaliwa 6 Juni 1966) ni mwanasiasa wa Afrika Kusini anayehudumu kama mjumbe wa bunge katika jimbo la Cape Magharibi tangu Mei, 2019. Alikuwa mshauri wa manispaa ya Stellenbosch ya serekali ndogo. Bakubaku Vos ni mjumbe wa chama cha Africa National Congress (ANC). Mai 5, 2020, Bakubaku-Vos alitangaza kuwa amepata virusi vya korona. [1]