Gloria Young

Gloria Young (alizaliwa tarehe 4 Februari 1967) ni mwigizaji wa kike wa Nigeria aliyeshiriki Zaidi ya filamu 70 na alishinda tuzo ya filamu ya City People Movie Award. [1] [2]

  1. "I didn't sleep with anyone to be movie star – Gloria Young". The Sun Nigeria (kwa American English). 2018-08-11. Iliwekwa mnamo 2019-12-04.
  2. People, City (2018-09-24). "Winners Emerge @ 2018 City People Movie Awards". City People Magazine (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-10-10.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne