Godfrey Walusimbi (alizaliwa 3 Julai 1989) ni mchezaji wa soka wa Uganda ambaye anacheza katika klabu ya Gor Mahia F.C iiliyopo katika Ligi Kuu ya Kenya.
Yeye ni beki wa kushoto lakini amekuwa akicheza katika nafasi kadhaa na Bobby Williamson katika timu ya taifa.
Tarehe 12 Juni 2011 alikwenda Sweden kwa ajili ya majaribio na klabu ya Allsvenskan upande BK Hacken.