Mfalme Gogugwon wa Goguryeo (?-371, r. 331-371) alikuwa mtawala wa kumi na sita wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea.
Developed by Nelliwinne