Gondulfi (kwa Kilatini: Gondulfus, Gundulphus, labda pia Bethulphus; karne ya 6 - karne ya 7) alikuwa askofu wa 22 wa jimbo la Tongeren-Maastricht, leo kati ya Ubelgiji na Uholanzi.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.