Gotham City

Mahali pa jiji la Gotham.

Gotham City ni jiji linaloonekana katika gazeti la katuni linalomilikiwa na DC Comics.

Jiji linafahamika zaidi kama ni nyumbani kwa Batman. Mahali pa kuishi pa Batman palitambulishwa kama Gotham City kwenye sehemu ya 4 ya Batman (Winter 1940).


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne