Greatest Hits (Fugees)

Greatest Hits
Greatest Hits Cover
Greatest hits ya The Fugees
Imetolewa 25 Machi 2003
Aina Hip-hop, soul
Urefu 43:37
Lebo Columbia
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za The Fugees
Refugee Camp - Bootleg Versions
(1996)
Greatest Hits
(2003)


Greatest Hits ni albamu ya nyimbo mchanganyiko ya kundi zima la The Fugees. Albamu ilitolewa na studio ya Columbia Records mnamo mwaka wa 2003.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne