Jamhuri ya Ginebisau | |
---|---|
República da Guiné-Bissau (Kireno) 𞤘𞤭𞤲𞤫 𞤄𞤭𞤧𞤢𞥄𞤱𞤮 (Kifulani) ߖߌߣߍ ߺ ߓߌߛߊߥߏ߫ (Kimandinka) | |
Kaulimbiu ya taifa: Unidade, Luta, Progresso (Kireno) "Umoja, Harakati, Maendeleo" | |
Wimbo wa taifa: Esta É a Nossa Pátria Bem Amada "Hii ni Nchi Yetu Inayopendwa Sana" | |
Mahali pa Guinea Bisau | |
Ramani ya Guinea Bisau | |
Mji mkuu na mkubwa nchini | Bisau |
Lugha rasmi | Kireno |
Ginebisau (Kiingereza: Guinea-Bissau) ni nchi ndogo katika Afrika ya Magharibi.
Iko mwambaoni kwa Bahari Atlantiki ikipakana na Senegal upande wa kaskazini na Guinea upande wa kusini.