Guru | |
---|---|
![]() | |
Maelezo ya awali | |
Amezaliwa | 17 Julai 1966 |
Asili yake | Boston, Massachusetts |
Aina ya muziki | Hip Hop, Jazz |
Kazi yake | Rapa, Mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 1987–2010 |
Studio | Wild Pitch Records (1987–1990) Virgin Records (1991–2003) Ill Kid Records (1995-2005) 7 Grand (2003–2010) |
Guru (amezaliwa kama Keith Edward Elam, mnamo 17 Julai 1966 - 19 Aprili 2010), mjini Roxbury,[1] alikuwa rapa wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Huyu ni mmoja kati ya waanzilishi na mwandishi mkuu wa kundi la hip hop la Gang Starr, akiwa pamoja na DJ Premier.
Kwa kufuatia mfululizo wake wa albamu ya Jazzmatazz, huyu pia anafikirika kama mmoja kati wa waanzilishi wa muziki wa hiphop/jazz. Jina la Guru linasimama kama "Gifted Unlimited Rhymes Universal" na kuna kipindi hutumia kama "God is Universal, au Ruler Universal".