Hal Galper | |
---|---|
Amezaliwa | 18 Aprili 1938 |
Asili yake | Salem, Massachusetts, U.S. |
Aina ya muziki | Jazz |
Kazi yake | Mwanamuziki |
Ala | Piano |
Tovuti | www.halgalper.com |
Harold Galper (alizaliwa 18 Aprili 1938) [1] ni mpiga piano, mtunzi, mwimbaji wa muziki wa jazz,[2] kiongozi wa Bendi mwalimu, na mwandishi wa [[Nchini| Marekani.