Hamsini na tatu ni namba inayoandikwa 53 kwa tarakimu za kawaida na LIII kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 52 na kutangulia 54.
53 ni namba tasa.
Developed by Nelliwinne