Harusi

Harusi (pia arusi) ni sherehe ambayo hufanyika baada ya watu wawili kuoana, yaani kufunga ndoa.

Harusi ni sherehe au |tukio la kijamii ambalo hufanyika wakati wa kuungana kwa mwanamume na mwanamke katika ndoa. Tukio hilo linaweza kuwa na maana na utamaduni tofauti kulingana na jamii au dini husika. Kwa ujumla, harusi ni ishara ya kuanza kwa maisha mapya kwa wanandoa na inaweza kuhusisha ibada, sherehe, na mila kadhaa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne