Hassan El Shafei (Kiarabu: حسن الشافعي}; alizaliwa 9 Oktoba 1982)[1] ni msanii Misri, mtayarishaji wa rekodi na mtunzi wa media,[2] el-Shafei alitofautishwa na mtindo wake wa kisasa katika kuchagua muziki. Pia alishirikiana na majina muhimu katika ulimwengu wa muziki kutoka nchi za Kiarabu. Alijulikana Misri kwa kuwa mtayarishaji wa muziki na alishinda tuzo ya mtayarishaji bora wa muziki katika Tuzo za Muziki za Mashariki ya Kati mnamo mwaka 2009.[3]