Haute Matsiatra

Haute Matsiatra
Mahali paHaute Matsiatra
Mahali paHaute Matsiatra
Mahali pa Mkoa wa Haute Matsiatra katika Madagaska
Majiranukta: 21°27′S 47°5′E / 21.450°S 47.083°E / -21.450; 47.083
Nchi Madagaska
Wilaya 5
Mji mkuu Fianarantsoa
Eneo
 - Jumla 21,080 km²
Idadi ya wakazi (2004)
 - Wakazi kwa ujumla 1,128,900

Haute Matsiatra (Matsiatra Juu) ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,128,900. Mji mkuu ni Fianarantsoa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne