Hector Berlioz

Hector Berlioz.

Hector Berlioz (11 Desemba 1803 - 8 Machi 1869katika jiji la Paris) alikuwa mtunzi maarufu wa opera kutoka nchini Ufaransa. Alikuwa moja kati ya watunzi wakubwa wa opera wa karne ya 19. Miziki yake pia ilikuwa ya kipindi maarufu cha kukaribisha karne mpya, yaani karne ya 18 kwenda 19 au kwa jina lililo maarufu ni Romantic period.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne