Helen Cornelius

Helen Cornelius (alizaliwa kama Helen Lorene Johnson 6 Desemba, 1941) ni mwimbaji wa muziki wa country kutoka Marekani.[1][2]

  1. Colin Larkin, mhr. (1993). The Guinness Who's Who of Country Music (tol. la First). Guinness Publishing. ku. 95/6. ISBN 0-85112-726-6.
  2. "Helen Cornelius | Biography & History". AllMusic. Iliwekwa mnamo Agosti 5, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne