Henrietta Kosoko

Henrietta Kosoko alikuwa mcheza filamu wa Nollywood.[1] alianza kuonekana katika filamu ya ''Onome'' na ''Omolade'' akiwa kama nyota wa filamu mwaka 1995, Aliolewa na muigizaji wa zamani Jide Kosoko.[2][3][4][5]

  1. https://www.informationng.com/2016/06/15-things-you-may-not-know-about-henrietta-kosoko.html/amp
  2. "Nollywood actress, wife of Jide Kosoko, Henrietta Kosoko is dead - Vanguard News". Vanguard News (kwa American English). 2016-06-06. Iliwekwa mnamo 2018-03-31.
  3. "15 Things You May Not Know About Henrietta Kosoko - INFORMATION NIGERIA". INFORMATION NIGERIA (kwa American English). 2016-06-06. Iliwekwa mnamo 2018-08-28.
  4. "Nigeria: Top 8 Nollywood Stars That Died In 2016 - Nigerian Bulletin - Trending News". Nigerian Bulletin - Trending News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2018-08-28.
  5. "10 Stunning Photos of Henrietta Kosoko in Her Fifties - INFORMATION NIGERIA". INFORMATION NIGERIA (kwa American English). 2016-06-07. Iliwekwa mnamo 2018-08-28.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne