Hifadhi ya Taifa ya Kouroufing, inapatikana nchini Mali. Ilianzishwa mnamo 16 Januari 2002. Ina eneo la kilomita za mraba 557.
Hifadhi hiyo ni sehemu ya Bafing Biosphere. [1] Kaskazini mwa mbuga hiyo kuna Ziwa Manantali.
Developed by Nelliwinne