Himalaya

Himalaya.

Himalaya ni safu ya milima kunjamano katika Asia, upande wa kaskazini wa Uhindi. Ng'ambo ya pili ni nyanda za juu za Tibet (Uchina).

Himalaya ina milima mikubwa duniani. Milima 14 mirefu kabisa ya dunia iko Himalaya.

Milima yote iliyofika mita elfu nane juu ya usawa wa bahari iko katika safu ya Himalaya:

Ndani ya milima hii ya Himalaya kuna sehemu ambayo ni ya tatu duniani kwa kuwa na sehemu kubwa yenye barafu na theluji baada ya Antaktika na Aktiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne