"Hiros" | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Sehemu ya Heroes | |||||||
D.L. amerudi. | |||||||
Sehemu ya. | Msimu 1 Sehemu 5 | ||||||
Imetungwa na | Michael Green | ||||||
Imeongozwa na | Paul Shapiro | ||||||
Tayarisho la | 105 | ||||||
Tarehe halisi ya kurushwa | 23 Oktoba 2006 | ||||||
Waigizaji wageni | |||||||
| |||||||
Orodha ya sehemu za Heroes |
"Hiros" ni sehemu ya tano ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes.