Hirudo verbana

Hirudo verbana.

Hirudo verbana ni aina ya ruba ambayo kwa muda mrefu ametumika kwa tiba ya kitamaduni barani Ulaya kama H. medicinalis, lakini hivi majuzi imetambuliwa kama spishi tofauti.[1]

  1. Elliott, J. Malcolm; Kutschera, Ulrich (2011). "Medicinal Leeches: Historical use, Ecology, Genetics and Conservation". Freshwater Reviews (kwa Kiingereza). 4 (1): 21–41. ISSN 1755-084X. S2CID 49530224. {{cite journal}}: Unknown parameter |= ignored (help)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne