Histolojia

Sampuli ikiwa katika darubini tayari kuchunguzwa.

Histolojia (kutoka maneno ya Kigiriki ἱστός, histos, "tishu", na -λογία, "elimu"; kwa Kiingereza "histology") ni utafiti wa seli na tishu ya mimea na wanyama, hasa tishu. Ni sehemu ya saitolojia, na chombo muhimu cha biolojia na elimu ya dawa.

Histolojia kwa kawaida hufanyika kwa kuangalia seli na tishu kwa darubini ya mwanga au darubini ya elektroni.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne