'
Hope Mwanake | |
---|---|
Amezaliwa | 1988 |
Kazi yake | mjasiriamali na mwanasayansi kutoka Kenya |
Hope Wakio Mwanake (amezaliwa 1988) ni mjasiriamali na mwanasayansi kutoka Kenya. Anachukuliwa kuwa mmoja wa wajasiriamali vijana wanaochipukia kutoka Afrika. Mnamo Desemba 2019, aligonga vichwa vya habari kwa juhudi zake za kujenga nyumba na chupa za plastiki zilizoachwa ili kutokomeza uchafuzi wa plastiki nchini Kenya.[1][2]