Hotuba

Hotuba ya mlimani kadiri ya Carl Bloch (1877)
Mchungaji akihutubia katika mimbari, 1968.

Hotuba (kutoka Kiarabu; kwa Kiingereza: discourse) ni aina rasmi ya mawasiliano inayotumia lugha kwa namna maalumu ya dini, siasa, sayansi n.k. kadiri ya mazingira na walengwa[1]

Katika Injili, ni maarufu Hotuba ya mlimani ya Yesu.

  1. "Little Glossary of Semantics|last=|first=|date=June 2001|editor-last=Rastier|editor-first=Francois|website=Texto! Texts & Cultures|publisher=[[Ferdinand de Saussure Institute". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-24. Iliwekwa mnamo 2020-05-08.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne