I Need Love

“I Need Love”
“I Need Love” cover
Single ya LL Cool J
kutoka katika albamu ya Bigger and Deffer
Imetolewa 2 Septemba 1987
Muundo 12" vinyl
Imerekodiwa 1987
Aina Hip hop, Ballad, R&B
Urefu 5:23
Studio Def Jam
Mtunzi James Todd Smith
Mtayarishaji LL Cool J, L.A. Posse
Mwenendo wa single za LL Cool J
I'm Bad
(1987)
I Need Love
(1987)
Go Cut Creator Go
(1987)

"I Need Love" ilikuwa single ya pili kutoka katika albamu ya pili ya LL Cool J, Bigger and Deffer. Wimbo huu huhesabiwa kama rap ballad ya kwanza na ilitolewa mnamo mwezi wa Septemba katika mwaka wa 1987. Ilifikia nafasi ya #1 kwenye chati za Hot R&B/Hip-Hop Songs na #14 kwenye chati za Billboard Hot 100 wakati huohuo inakuwa nyimbo ya kwanza katika nyimbo za rap kufurahia umaarufu zaidi katika chati za Ufalme wa Muungano, kwa kufikia #8 katika UK Singles Chart. Single hii ilishinda tuzo ya Soul Train Music Award for Best Rap - Single mnamo 1987. Wimbo huu uliwekwa nafasi ya #13 kwenye orodha ya Nyimbo Bora 100 za Rap na About.com.[1] Namba kwenye orodha ya VH1 ya Nyimbo Kali 100 za Hip Hop.

  1. "Top 100 Rap Songs". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-08-27. Iliwekwa mnamo 2010-02-24.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne