"I Stay in Love" ni wimbo uliandikwa na Mariah Carey, Bryan-Michael Cox, WyldCard, wakishirikiana na Roderick Hollingsworth kwa ajili ya albamu ya studio kutoka kwa Carey ya kumi na moja E=MC². Albamu hii iliandaliwa na Carey akishirikiana na Cox. Wimbo wa Stay in Love ulitolewa kama single ya nne na ya mwisho kutoka katika albamu hii. Wimbo huu ulichezwa katika tuzo za American Music Award zilizofanyika tarehe 23 Novemba 2008. Wimbo huu ilifanikiwa kufika nafasi ya kwanza katika chati ya Billboard Hot Dance Club Play.[1]
- ↑ "Billboard". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-03-17. Iliwekwa mnamo 2006-03-17.