Ibzan

Ibzan alivyochorwa katika Promptuarii Iconum Insigniorum ya Guillaume Rouillé.

Ibzan (kwa Kiebrania אִבְצָן‎‎, ’Iḇṣān, maana yake "mashuhuri"[1]) alikuwa mmojawapo kati ya Waamuzi wa Biblia.

Kadiri ya Waamuzi 12:8-10 alikuwa wa Bethlehemu[2] akaongoza Israeli kwa miaka 7[3].

Alikuwa na watoto 30 wa kiume na 30 wa kike.

  1. Easton, Matthew George (1897), "Ibzan", Easton's Bible Dictionary (New and revised ed.), T. Nelson and Sons
  2. Cambridge Bible for Schools and Colleges on Judges 12, accessed 8 November 2016
  3. "The "Minor Judges"- A Re-evaluation". Alan J. Hauser. 1975. Iliwekwa mnamo 2015-03-27. {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne