If I Can't

“If I Can't”
“If I Can't” cover
Single ya 50 Cent
kutoka katika albamu ya Get Rich or Die Tryin'
Imetolewa 2002
Aina Hardcore hip hop , Gangsta rap, East Coast hip hop
Urefu 3:16
Studio Aftermath, Interscope, Shady
Mtunzi 50 Cent
Mtayarishaji Dr. Dre, Mike Elizondo co-prod.
Mwenendo wa single za 50 Cent
"P.I.M.P."
(2003)
"If I Can't"
(2003)
"Westside Story"
(2004)
Get Rich or Die Tryin' track listing
"Heat"
(7)
"If I Can't"
(8)
"Blood Hound"
(9)

"If I Can't" ni wimbo wa nne na wa mwisho kutoka katika albamu ya kwanza ya msanii/rapa wa Kimarekani 50 Cent, Get Rich or Die Tryin'. Wimbo huu umepata chati hafifu sana katika orodha ya nyimbo za 50 Cent zilizotolewa nchini Marekani. Ulitolewa mwaka wa 2003, na kushika nafasi ya 76 katika maingizo ya 100 bora. Wimbo ulitungwa na 50 Cent na kutayarishwa na Dr. Dre, kwa ushirikiano wake mpiga kinanda Mike Elizondo.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne