Ikulu ya Nairobi Mkurugenzi Mkuu wa WTO Roberto Azevêdo na Rais Uhuru Kenyatta, katika Ikulu (2014)
Ikulu ya Kenya ni makazi rasmi ya Rais wa Kenya. Ilikuwa ni makazi ya Waziri Mkuu wa Kenya kutoka uhuru, tarehe12 Disemba1963 hadi Kenya ilipogeuka kuwa jamhuri tarehe 12 Disemba 1964. Imekuwa makazi ya rais tangu siku ya kutangaza jamhuri.[1]