Iluminata wa Todi (alifariki Massa Martana au Todi, Umbria, Italia, 320 hivi) alikuwa mwanamke anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu bikira, pengine pia mfiadini[1][2][3].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Novemba[4]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)