Indiana | |||
| |||
Nchi | ![]() |
||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Indianapolis | ||
Eneo | |||
- Jumla | 94,321 km² | ||
- Kavu | 92,895 km² | ||
- Maji | 1,427 km² | ||
Tovuti: http://www.in.gov/ |
Indiana ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mkubwa ni Indianapolis. Imepakana na Michigan, Ohio, Kentucky, na Illinois. Iko kwenye mwanbao wa Ziwa Michigan.
Jimbo lina wakazi wapatao 6,376,792 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 94,321.